Abuu Nuwas
Member
- Apr 20, 2023
- 5
- 9
Ningeandika mimi sasa..Body language na yenyewe ni ya kutabasamu mkuu
Daah hawa form six wameenda chuo badala wakazane na masomo wameanz akuipua milupo wanakuja kutuuliza sisi....ona anavyochanganya lugha?Body language na yenyewe ni ya kutabasamu mkuu
Tabsamu anatafuta body languageUtakuja kutaperiwa
Ongeza umakini mkuu
money speaks louder than words, kwakifupi km huna kipatato ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,utakesha kupata mpenzi tafuta hela hao wapenzi watakuja wenyweweNimekuwa nikijiuliza Sana kuhusu dalili za mwanamke anaekupenda unamjua kwa ishara zapi?
Mimi ninayofahamu ni tabia ya kuwa na tabasamu unapokuwa nae, vipi kuhusu body language yake......?
Kakofi ka uchokozi.... 😊kakofi
Second batch outNimekuwa nikijiuliza Sana kuhusu dalili za mwanamke anaekupenda unamjua kwa ishara zapi?
Mimi ninayofahamu ni tabia ya kuwa na tabasamu unapokuwa nae, vipi kuhusu body language yake......?
Ukitaka kuyafahamu hayo soma kitabu kinaitwa "One Thousan and One Nights" kimetafriwa na Sir Richard Burton.Nimekuwa nikijiuliza Sana kuhusu dalili za mwanamke anaekupenda unamjua kwa ishara zapi?
Mimi ninayofahamu ni tabia ya kuwa na tabasamu unapokuwa nae, vipi kuhusu body language yake......?