canal59
Member
- Feb 13, 2015
- 64
- 36
Naziona dalili mapeema za Lema kuukosa ubunge, dalili hizo ni
1. Upepo wa mabadiliko ambao unaanza kuchipukia CCM
2. Wananchi kutokujitokeza kwa wingi ktk upigaji kura na hli limeonekana ktk chaguzi za lushoto lulindi na sehemu zinginezo ktk level ya kata
3. Nguvu ya lowasa ss haitakuwepo tena ktk kupaisha ushindi..ninawasiwasi sana ukawa icpojipanga vzr tutamkosa Kamanda Lema Bungeni.