Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
Ukiona mtu anatuma tuma picha face book na kuanza kutaka kusifiwa mara sijui pendeza wewe ujue hiyo dalili ya mtu kuanza kukata tamaa na kuwa frustrated.
Naacha pombe maana hang over inanifanya nisielewe baadhi ya post
swali zuriKwani maana ya frustrated ni nini?:flypig::flypig:
Kwani maana ya frustrated ni nini?:flypig::flypig:
swali zuri
Naacha pombe maana hang over inanifanya nisielewe baadhi ya post
Mi najizuia sana kuchangia post za hivi maana naanza kwaresma leo
Kwani face book ilianzishwa kwa malengo gani vile???Ukiona mtu anatuma tuma picha face book na kunza kutaka kusifiwa mara sijui pendeza wewe ujue hiyo no dalili ya mtu kuanza kukata tamaa na kuwa frustrated