Dalili za kupungukiwa nguvu za kike

Kuna Age ikifika Mwanamke lazima anenepe....Wengi wakishajifungua anafutuka hapa siongelei wale wenye miili ya kina BETINA kama Kina Zamaradi Vimbaumbau hawa hata ale chips yai michemsho biere daily hanenepi.
 
Kwa wanawake wengi hawajui dalili mojawapo ya kupungukiwa nguvu za kike ni kujinenepea bila sababu za msingi.
Mkuu, dalili kubwa ya upungufu wa nguvu ya kiume ni..... Kukosa pesa/hela
Hayo mengine ni mbwembwe tu
 
Tunaongelea nguvu za kike
1. Acha kukula mabawa/miguu ya kuku na chips.
2. Kunywa juice ya tende.
3. Kula ugali na mboga zenye wanga.
4. Fanya mazoezi kila asubuhi uamkapo.
5. Kunywa maji ya kutisha.
6. Mpende mwenza wako.
7. Jipende na mpende mwenzio.
 
1. Acha kukula mabawa/miguu ya kuku na chips.
2. Kunywa juice ya tende.
3. Kula ugali na mboga zenye wanga.
4. Fanya mazoezi kila asubuhi uamkapo.
5. Kunywa maji ya kutisha.
6. Mpende mwenza wako.
7. Jipende na mpende mwenzio.
Nina wasiwasi na hii list ujue?
 
Kwanza mwanamke mnene hisia zake za mapenzi ziko mbali sana wakati mwingine anaona hata kufanya jimai ni karaha kwake huo ndio upungufu wa nguvu za kike mara nyingi wanao wanawake wanene
 
Nina wasiwasi na hii list ujue?
Naomba nisiseme maneno mingi tafadhali.....
Karibu huku ambapo sio Daslam.. tehteehhh
images.jpg
IMG-20141211-WA0007.jpg
 
Back
Top Bottom