#COVID19 Dalili za Corona ambazo hutokea kwa watu wachache

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
Shirika la Afya Duniani limeweka bayana dalili za COVID-19 ambazo hutokea kwa watu wachache.

Dalili hizo zinatajwa kuwa ni:
  • Kupata maumivu ya kichwa
  • Kuwashwa kooni
  • Kupata maumivu sehemu mbalimbali za mwili
  • Kuhara
  • Kupata upele kwenye ngozi, au kubadilika rangi kwa vidole
  • Macho kuwa mekundu
Dalili hizi zinakadiriwa kuanza kuaonekana kuanzia siku 5 mpaka 6 tangu mtu apate maambukizi ya corona virus.

Unasisitizwa upatapo dalili hizo chukua tahadhari kwa kukaa mbali na wengine huku ukifanya mchakato wa kwenda kituo cha afya kupima na kutibiwa.

===

Less common Covid-19 symptoms:
  • Sore throat
  • Headache
  • Aches and pains
  • Diarrhoea
  • A rash on skin, or discolouration of fingers or toes
  • Red or irritated eyes
On average it takes 5–6 days from when someone is infected with the virus for symptoms to show, however it can take up to 14 days.
 
Corona ni Nini izo dalili nimezipitia juzi tu, ila saiz mafia ndo yanelekea mwishoni
 
Nadhani from time to time tunapata mild Covid_19 na inaondoka either yenyewe au kwa tiba za kawaida tulizozizoea zinazotibu magonjwa hayo.
Ni mwendo wa arisromaizin, amoksiklavu, pedizinki na parasetam kwa wingi kitu kinasepa chenyewe..😀
 
😀😀😀 kuhara nimetumia msongwa, mafua na Koo kuwa kavu nimetumia matunda na tangawizi, maumivu ya kichwa nimetumia Panadol, joto linaisha na kichwa kinacool.
Na wasiwasi virus vyo uviko vimesambazwa kwa njia ya hewa
 
Back
Top Bottom