Dalili ya tatizo la Afya ya Akili

Jul 3, 2020
29
63
Kulewa sana.

Kufanya ibada sana.Unakuta mtu anapitiliza muda wa ibada na kushindwa kufanya majukumu mengine.

Kushindwa kufanya uzalishaji mali au kufanya kazi.

Kupenda kesi, jambo dogo unampeleka mtu polisi au mahakani, yaweza akawa mtu wa karibu kama baba,mama,mtoto nk.

Kutofata sheria za usalama barabari, mfano kuendesha gari kwa mwendo kasi.

Kukasirika kwa jambo dogo sana, kuanzisha ugomvi.

Kuhisihisi, kuwa na wivu.Nalo hili ni tatizo la Afya ya akili.Hii huleta athari kubwa kijamii kama watu kujiua au kuua wengine.

Mtu mzima kuwa tegemezi , kuwa ombaomba kupita kiasi.Unakuta mtu ana miaka 42 Bado anategemea urithi kwa wazazi.

Mfanyakazi kuwa mzembe kazini, mfano kuchelewa, utoro na kuomba ruhusa zisizo na tija.

Kujijali mwenyewe, kuwa tayari kuumiza wengine kwa manufaa yako, dhuluma, wizi na hata kufunga wengine.

Dalili nyingi, wengine waongezee.

Ukiangalia dalili hizi, basi 90% tuna shida ya afya ya akili.

Hasa viongozi wa CCM wanna shida hii.
 
Umetumia kipimo cha brainometer, ama? Anyway, hata mtu kuwa na njaa (brain and stomach are intricately interrelated), kuchoka kihisia na kutojisikia vizuri, vyote hivyo ni dalili za ugonjwa wa akili.

I mean, kila mtu, at any given time, ana kiwango fulani cha ugonjwa wa akili. Mathalani kuwa na hofu, wasiwasi, mashaka, mfadhaiko, msongo wa mawazo na tashafani, all these ni disorders za akili.
 
Kulewa sana.

Kufanya ibada sana.Unakuta mtu anapitiliza muda wa ibada na kushindwa kufanya majukumu mengine.

Kushindwa kufanya uzalishaji mali au kufanya kazi.

Kupenda kesi, jambo dogo unampeleka mtu polisi au mahakani, yaweza akawa mtu wa karibu kama baba,mama,mtoto nk.

Kutofata sheria za usalama barabari, mfano kuendesha gari kwa mwendo kasi.

Kukasirika kwa jambo dogo sana, kuanzisha ugomvi.

Kuhisihisi, kuwa na wivu.Nalo hili ni tatizo la Afya ya akili.Hii huleta athari kubwa kijamii kama watu kujiua au kuua wengine.

Mtu mzima kuwa tegemezi , kuwa ombaomba kupita kiasi.Unakuta mtu ana miaka 42 Bado anategemea urithi kwa wazazi.

Mfanyakazi kuwa mzembe kazini, mfano kuchelewa, utoro na kuomba ruhusa zisizo na tija.

Kujijali mwenyewe, kuwa tayari kuumiza wengine kwa manufaa yako, dhuluma, wizi na hata kufunga wengine.

Dalili nyingi, wengine waongezee.

Ukiangalia dalili hizi, basi 90% tuna shida ya afya ya akili.

Hasa viongozi wa CCM wanna shida hii.
Huu mwandiko wako inaonyesha unatatizo kubwa sana la akili kushinda uliowataja
 
Hakuna kitu kinaitwa afya ya akili..Ni vile tu watu hawana hela na nahitaj ni makubwa mtaani
 
Back
Top Bottom