Uchumi wa Kati
Member
- Jul 3, 2020
- 29
- 63
Kulewa sana.
Kufanya ibada sana.Unakuta mtu anapitiliza muda wa ibada na kushindwa kufanya majukumu mengine.
Kushindwa kufanya uzalishaji mali au kufanya kazi.
Kupenda kesi, jambo dogo unampeleka mtu polisi au mahakani, yaweza akawa mtu wa karibu kama baba,mama,mtoto nk.
Kutofata sheria za usalama barabari, mfano kuendesha gari kwa mwendo kasi.
Kukasirika kwa jambo dogo sana, kuanzisha ugomvi.
Kuhisihisi, kuwa na wivu.Nalo hili ni tatizo la Afya ya akili.Hii huleta athari kubwa kijamii kama watu kujiua au kuua wengine.
Mtu mzima kuwa tegemezi , kuwa ombaomba kupita kiasi.Unakuta mtu ana miaka 42 Bado anategemea urithi kwa wazazi.
Mfanyakazi kuwa mzembe kazini, mfano kuchelewa, utoro na kuomba ruhusa zisizo na tija.
Kujijali mwenyewe, kuwa tayari kuumiza wengine kwa manufaa yako, dhuluma, wizi na hata kufunga wengine.
Dalili nyingi, wengine waongezee.
Ukiangalia dalili hizi, basi 90% tuna shida ya afya ya akili.
Hasa viongozi wa CCM wanna shida hii.