Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,627
- 30,606
Nina uona ushindi wa Baba Jesca kuwa chini ya 40% ifikapo 2020.
J.K kipenzi cha watanzania mtoto wa mjini ushindi wake ulishuka kutoka 80.28 Mwaka 2005 mpaka 62.83 Mwaka 2010 likiwa ni anguko la 20%.
Na hizi takwimu bado Nec yote ni yao Je kiuhalisia utakuta alianguka hata kwa 50% .
Baba Jesca alipata kura 8,882,935 saws na asilimia 58.46 na Eddo kura 6,728,480 saws 39.97 Ikiwa ni tofauti ya kura 2,154,455
Je kwa mwenendo huu tukisema leo watu hawa wagombee nani kura zake zitaongezeka na za nani zitapungua
Hizi asilimia 58.46 naziona kabisa zikifika chini ya 40%
Ni maoni tu,but kiuhalisia baba Jesca itabidi ajitahidi atawapa chama wakati mgumu asipo rekebisha mambo!!!