Dalili ya mvua ni mawingu, Magufuli kidedea (joke)

Dalili ya mvua ni mawingu, Magufuli kidedea (joke)

TUNA KILA SABABU YA KUMPIGIA KURA EDWARD LOWASSA KESHO. CCM mmeshashindwa kutimiza Ahadi zenu hewa kwa miaka zaidi ya 50.

-Mmeshindwa kutuondolea umasikini na wananchi wana maisha magumu haswa.

-Mnajinufaisha wenyewe tu.

-Vijana hawana Ajira.

*TUMEICHOKA CCM,

*TUNATAKA MABADILIKO

*TUTAMCHAGUA EDWARD LOWASSA KESHO.

Sijui Mgombea uliyemtaja amekuwa kwenye hicho chama kwa miaka mingapi kati ya hiyo 50 uliyotaja, najiuliza pia wanaompigia kampeni wamekuwa kwenye hicho chama kwa miaka mingapi?

Ajenda ni kuikataa CCM au kumkubali Lowassa?

Nitakuelewa ukisimamia kimoja wapo kwasababu haviendi pamoja.
Ukiisema CCM kwa njia nyingine unawasema watu waliowahi kuwa na nafasi kubwa tu na sasa wapo upande wa pili, hii inafifisha hoja.
 
12046705_129775030712865_8664789500788659568_n.jpg
Magufuli atosha tena saa, bila wasiwasi wa aina yoyote ushindi wake I wa lzaima
 
Sijui Mgombea uliyemtaja amekuwa kwenye hicho chama kwa miaka mingapi kati ya hiyo 50 uliyotaja, najiuliza pia wanaompigia kampeni wamekuwa kwenye hicho chama kwa miaka mingapi?

Ajenda ni kuikataa CCM au kumkubali Lowassa?

Nitakuelewa ukisimamia kimoja wapo kwasababu haviendi pamoja.
Ukiisema CCM kwa njia nyingine unawasema watu waliowahi kuwa na nafasi kubwa tu na sasa wapo upande wa pili, hii inafifisha hoja.

NDIO MAANA WALIONDOKA ILI WAUNGANE NA WAPINZANI KUTUTETEA WANANCHI DHIDI YA WALAJI WA MALI ZETU KWA MIAKA ZAIDI YA 50...ndio maana tutawapa kura zetu kesho.
 
NDIO MAANA WALIONDOKA ILI WAUNGANE NA WAPINZANI KUTUTETEA WANANCHI DHIDI YA WALAJI WA MALI ZETU KWA MIAKA ZAIDI YA 50...ndio maana tutawapa kura zetu kesho.

😛oa
Sijaona LIKE button ningekupa.

Sasa Mkuu, Kingunge, Sumaye na Lowassa kati ya hawa hakuna aliyekuwa kwenye hilo kundi la 'WALAJI WA MALI ZETU'?

Hawajawahi kula, wametosheka au wametubu na kurudisha walivyokula?
 
Tutazikamata Hayo Masanduku Mpaka mkimbie Hii nchi.Mmezoea za kuiba.Safari hii umekula chuya.
 
😛oa
Sijaona LIKE button ningekupa.

Sasa Mkuu, Kingunge, Sumaye na Lowassa kati ya hawa hakuna aliyekuwa kwenye hilo kundi la 'WALAJI WA MALI ZETU'?

Hawajawahi kula, wametosheka au wametubu na kurudisha walivyokula?

Hilo swali linafaa kabisa CCM NDIO WALIJIBU bila kuwasahau kina Chenge,Tibaijuka Ngeleja na Mzee wa ESCROW
 
Hicho kizungu cha Magufuli ......... kazi kweli kweli!!! Elimu, Elimu, Elimu!!!

kuna wingu zito sana limetanda hapa mwanza maeneo yote ya mjini, soon bonge la mvua linashuka hivyo na mkutano mkubwa uliondaliwa kwa mamilioni na mamilioni wa mafisiemu utakuwa umeharibiwa. na hii ni dalili tosha kabisa kwamba hawa watu ibilisi anawaita kwani tayar wamekwisha kufai kesho wanazikwa kwenye sanduku la kula
 
Back
Top Bottom