Wannjanye maley
Member
- Jan 16, 2018
- 18
- 0
Juice ya stafeli kwan ansumwa nini hasa?.....au ndio mambo ya wasiojulikana kila sehemu....UNAUMWA UGONJWA ISIOJULIKANA UNAKUTANA NA DAKTARI WASIOJULIKANA NAO WANAKUPATIA TIBA ZISIZOJULIKANA....ahahaaaTumia juice ya mtafeli unapoendelea na ushauri mwingine kwa kutumia majani ya mstafeli na kusaga kwa slender pole sana ndugu
Wewe mwenzio anaumwa alafu wewe unakuja kujichekesha chekesha hapa km gasho. Kuwa na busaraJuice ya stafeli kwan ansumwa nini hasa?.....au ndio mambo ya wasiojulikana kila sehemu....UNAUMWA UGONJWA ISIOJULIKANA UNAKUTANA NA DAKTARI WASIOJULIKANA NAO WANAKUPATIA TIBA ZISIZOJULIKANA....ahahaaa
Typhoid, malaria, UTI, HIV, basi, na kidonda kina wiki 3 na nusu, antibiotics nilitumia mwaka jana nilipokutwa sina magonjwa hayo inaitwa amoxlin cavvana kama sikosei, na mkojo Wang ni mchafu haubadiliki tangu mwaka janapomoja na ushauri wa juu hapo, ni antibiotics gani hizo ulizotumia mpaka sasa?
vipimo gani umepima?
hicho kidonda ulichoweka dawa kilitokana na nini na unacho tangu lini?
Asante bro ntajalibu kuifatiliaHapana sio dawa isiyojulikana juice ya mstafeli inatibu magonjwa 100 zikiwemo kansa zote wala usitie shaka hakika utafuraia
Hapana, ila mazoezi na kucheza mpira nilikua nafanya kilasiku, niliamua kuacha baada ya kuanza kujisikia vibaya nilipoludi mazoezini na kidonda ambacho alinichea lafu mwezangu, na mguu wa pili nao nilikuja kuvimba mazoezini, cha ajabu uvimbe ulichelewa kupona ambapo sio kawaida yangu, nilipona baadae ila umeniachia kinundu kidogo ambacho ninacho kwa mguuUlipima kisukari?
Nenda kapime kisukariHa
Hapana, ila mazoezi na kucheza mpira nilikua nafanya kilasiku, niliamua kuacha baada ya kuanza kujisikia vibaya nilipoludi mazoezini na kidonda ambacho alinichea lafu mwezangu, na mguu wa pili nao nilikuja kuvimba mazoezini, cha ajabu uvimbe ulichelewa kupona ambapo sio kawaida yangu, nilipona baadae ila umeniachia kinundu kidogo ambacho ninacho kwa mguu
Asante bro, ila hali yetu kwa sasa sio nzuri, nikimwambiaga mama yang tatizo langu huwa analia sana tukiwa tunasali maana yeye ni mkristu , hiv nakunywaga dawa za maumivu panado kunipunguzia homa,Ndugu kurudi tena hospitali kwa uchunguzi na matibabu zaidi ni muhimu maana kwa maelezo yako inabidi daktari achukue historia yako na afanye physical examination in details then akufanyie vipimo vitakavyosaidia kujua tatizo ni nini. Kama hali haitaonekana bado unayo nafasi ya kutumia utaratibu wa kuwaona mabingwa.....jitahidi kushirikisha ndugu na jamaa ili usaidiwe kipesa, maana kuishi bila kujua unaumwa nini pia ni ugonjwa tosha.
Asante, tatizo uchumi wang mbovu kwa sasa maana niliacha kazi nisomee fani ya umeme vetaNenda kapime kisukari
Kipimo ni rahisi sanaAsante, tatizo uchumi wang mbovu kwa sasa maana niliacha kazi nisomee fani ya umeme veta
Sawa ndugu Tatizo kumudu hizo gharama ndo tatizoPole sana dogo,, nenda lugalo ama palestina,,