Dalili njema za CCM kushinda

Waislamu msimpe lowassa kura. lowassa ameletwa ukawa na gwajima. Lowaasaa akishinda gwajima atakua na nguvu sana. Gwajima haupendi uislamu. Vile lowassa nae ana chembechembe za kuuchukia uislamu, wakiwa madarakani wataangamiza uislamu.

Waislamu amkeni. Semeni NO kwa lowassaaaaa

Lowasa ndiye aliesaini mkataba uliyoyapa makanisa haki ya kupewa ruzuku na serikali. Waislamu wameachwa bila ruzuku yoyote licha ya kuwa walipa kodi pia.

WALLAHI mkimpa kura lowassa mtaingia motoni
Mpeni kura magufuli. Siyo mdini
 
hivi ukawa huwa hamna hoja ya kuchangia? Maana kazi zenu kutoa matusi tu na kulialia hivi ninyi wote ni watoto wa kike? Maana hata mwanamke hufikia kipindi anakuwa jasiri wa kujenga hoja na kupinga hoja kuweni makini mnashusha hadhi yenu

Tatizo mada yako ni baseless, inafika wakati unakera watu. GT wanakuja kusoma kwa usongo kwamba kuna mada ya maana ya kujadili, ukiingia ndani ni -----! Wkati mwingine kusemwanga mnajitakia. Your example is devoid of any similarities!
 
Tatizo mada yako ni baseless, inafika wakati unakera watu. GT wanakuja kusoma kwa usongo kwamba kuna mada ya maana ya kujadili, ukiingia ndani ni -----! Wkati mwingine kusemwanga mnajitakia. Your example is devoid of any similarities!

Ukiingia ndani ni UPU..PU.
 
 
Achilia mbali kumpigia lowasa hata kumpigia kura magufuli kutawaingiza motoni waislamu kwakua demokrasia ni mfumo unaokidhana na uislamu kwa ujumla, kama hujui ni hivi uislamu ni mfumo wa maisha uliokamilika usiohitaji kufanyiwa marekebisho toka kizazi kimoja mpaka kizazi kingine. Usiutukane uislamu na waislamu kwa ujumla kwa ajili ya mapenzi yako kwa magufuli ama kwa ajili ya chuki zako kwa lowasa
 

matako ya bibi yako acha uchochezi wa kidini we ----
 
Tulime, wewe unaheka ngapi ulizolima wakati muda wote huko jf??????
 
Last edited by a moderator:
Nimeumia sana kwa Simba kufungwa. Ila nimefarijika kwa kijani kushinda. Simba UKAWA walianza kufanya mambo ya kijinga sana pale walipokuwa wakiimba eti Lowasa mabadiliko huku wakizungusha mikono yao. Tangu hapo sikuangalia tena mpira
 
Tumewanyanyasa sana Yanga. Mwaka wao huu na CCM yetu
 

Nenda misikitini kama una ka maana ila ukiwazingua jiandae kuokota makopo. Pumbafuuuuuuu
 
Nawashangaa wanaokataa ushindi kwa ccm najua watakataa hata yatakapotangazwa
 
CCM msijidanganye, Kila mtu anafahamu LOWASSA ndiye anayeungwa mkono na watanzania wengi. Hila zozote za kumpitisha MAGUFULI kimabavu zitapelekea machafuko makali nchini kuliko ilivyowahi kudhaniwa!Bora tufe kuliko kuendelea kutawaliwa na CCM.
 
Nimeumia sana kwa Simba kufungwa. Ila nimefarijika kwa kijani kushinda. Simba UKAWA walianza kufanya mambo ya kijinga sana pale walipokuwa wakiimba eti Lowasa mabadiliko huku wakizungusha mikono yao. Tangu hapo sikuangalia tena mpira

Usizidi kututia hasira, watu tumeacha kuvaa nguo za timu yetu pendwa kwa kuepuka kichefuchefu cha kunasibishwa na uharo wa ccm. Mna bahati marufuku ya kuvaa nguo za vyama leo imewasitiri vinginevyo uccm mngeutafuta kwa tochi pale uwanja wa taifa, chezea mabadiliko weye.
 

Hata nchi za jiran znatuonea wivu kuwa na rais kama magufuli
 
Na mtambue tangu leo kuwa mwaka huu ni wa mabadiliko! Uteja wa yanga kwa simba kwishney vivyo hivyo ccm haina chao kwa kwa chadema mwaka huu! Unaambiwa mungu sio wa upande mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…