Dalili njema za CCM kushinda

Mabadiliko ndio yana anza baada ya yanga kuwa vibonde kwa simba kwa muda murefu mfano kama raia kuwa wanyonge kwa ccm miaka 55
 

Hapo sasa CCM tutashinda asubuh
 
 
MAGUFULI ANASEMA ETI MTU AKIFANYA KITU Anakuwakatumwa NA BOSI WAKE WALA SI WEWE BALI UMETUMWA NA BOSI WAKO WALA SI WEWE..
Swali ni...
VIPI KUHUSU RICHMOND,ESCROW N.K?WALITUMWANA MABOSI WAO PIA...
CHANZO...CHANEL TEN.HABARI SAA MOJA
 

Ushindi wa CCM upo palepale
 
Mnaijua historia ya Yanga? Huwezi kutenganisha harakati za ukombozi na baadhi ya timu kama Yanga.
 
Mwanaizaya wee huoni kuwa mlikubuhu kufingwa na simba km ccm walivyozoea kuwashinda wapinzAni naleo yanga lashindA na ccm nao ujue wataenda bench mwk hu km simba Leo Kobe we
 
Usishabikie maumivu lipia bili ya umeme uone,unakatwa pesa kwaajili ya ewura na rea,iweje mteja alipie gharama za uendeshaji wa mashirika tena kwa lazima,kuishabikia ccm ni kushabikia maumivu
 


Mleta mada napata shida kuamini kama na wewe ni miongoni mwa wa wa darasa la saba wanaoiunga mkono CCM lakini kwa uandishi wako naelekea kuamini kwa Kuwa umelishwa maneno na kuyaweka kichwani kama yalivyo bila uchambuzi wowote na kudhani watu wote wapo kama wewe hilo ni kosa kubwa.
 
Kwa mara ya kwanza ccm yajiandaa kuwa chama cha upinzani kilichosambaratika. Maana ccm imekosa mwenyewe imekuwa pango la walanguzi!
 
Nimejua sababu ya lowasa kusema elimu, elimu, elimu, kwa huzi kama huu elimu elimu elimu inahitajika
 
Nihivi ccm kushinda nisawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.kama serikali ya ccm ambayo kwasasa inaomba huruma za wananch kuwarudisha ikulu bado inaendelea kuwahadaa wananch mpaka muda huu ambao ilitakiwa walau kuonza kuonyesha iman walau kidogo ili kujiongezea kura kidogo ambazo zingewatoa aibu ya kushindwa kwa kunya nyingi.inasikitisha tuliambiwa mgao wa umeme umeisha rasmi kwakua mitambo ya gess imeshawaka lakini bado nch ni giza.sasa tukijumlisha na machungu mengi ya nyuma ambayo hatujayasahau nikipi kitatufanya tupige kura kwa ccm na magufuli.tena musipoangalia hata wabunge munaweza kuwakosa awamu hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…