japo mimi ni shabiki nambari one wa simba siwezi kuomba mabaya kwa yanga ,mfano leo yanga anakufa simba tutacheza na nani
ushindi huu wa yanga leo hii japo nimeumizwa ila naona ni dalili njema za ushindi kwa ccm,kwa sababu ccm ina rangi ya kijani na njano japokuwa si mahusiano ya kisiasa kati ya ccm na yanga ila ni dalili kuwa njano na kijani ni mwaka wao wa kushinda katika kila hatua ya kiushindani mwaka huu.
Kwa hali hiyo wale wenzangu na mie wajue kuwa ushindi wa kila namna mwaka huu ni wa kijani na njano,ccm inashinda na dalili zimeanza kuonekana hata kwa tafiti mbalimbali zilizotolewa kabla ya jana kuwa siku ya mwisho ya kutoa tafiti kwa mjibu wa sheria ya nec
sina kinyongo na ushindi wa yanga na nasisitiza amani iendelee kutawala kwa maslahi mapana ya taifa letu.
Binafsi ntamchagua mwadilifu na mchapa kazi jp magufuli kuwa rais wa tanzania.

mpumbavu wewe
upuuzi mwingine bana
Hivi utaelimika lini wewe[/QUOTE] NILISHA ELIMIKA NDIYO MAANA NATOA MTIZAMO CHANYA KUHUSU HALI HALISI,TOFAUTI NA WW AMBAYE HUWEZI HATA KUJIFIKILISHA NA KUSOMA MAJIRA NA NYAKATI
hivi ukawa huwa hamna hoja ya kuchangia? Maana kazi zenu kutoa matusi tu na kulialia hivi ninyi wote ni watoto wa kike? Maana hata mwanamke hufikia kipindi anakuwa jasiri wa kujenga hoja na kupinga hoja kuweni makini mnashusha hadhi yenu