miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Aug 19, 2014 #21 1701 said: haaaa,pombe mbaya,kwanza ukilewa kila demu mzuri,unajua yote,alaf sifa kuu ya mlevi ni live for the moment,hakuna kesho Click to expand... Yah that good for as
1701 said: haaaa,pombe mbaya,kwanza ukilewa kila demu mzuri,unajua yote,alaf sifa kuu ya mlevi ni live for the moment,hakuna kesho Click to expand... Yah that good for as
Mfarisayomtata JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 474 Reaction score 188 Aug 20, 2014 #22 kuanza kuwazoea meza ya jirani wakati mwanzo ata salamu hakutoa.
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,434 Reaction score 17,862 Aug 20, 2014 #23 Aibu huwa inaenda field kwanza...! Maneno mazito mazito huchomoka hata mbele ya baba/mama mkwe/mke/watoto/ndugu/jamaa/marafiki na viumbe vingine!
Aibu huwa inaenda field kwanza...! Maneno mazito mazito huchomoka hata mbele ya baba/mama mkwe/mke/watoto/ndugu/jamaa/marafiki na viumbe vingine!
Galadudu JF-Expert Member Joined Jun 23, 2014 Posts 2,304 Reaction score 780 Aug 20, 2014 #24 Aliingia akiwa hajui kucheza mzk lakin zikianza kukolea yeye ndo anakuwa super nyamwela, na kuimba nyimbo zote za kilingala kama yeye ndo bileku mpasi
Aliingia akiwa hajui kucheza mzk lakin zikianza kukolea yeye ndo anakuwa super nyamwela, na kuimba nyimbo zote za kilingala kama yeye ndo bileku mpasi
Head current JF-Expert Member Joined Jan 17, 2013 Posts 479 Reaction score 128 Aug 20, 2014 #25 kuingilia ugomvi ambao haukuusu na kujidai una master ya usuluhishi!
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Aug 20, 2014 Thread starter #26 miss chagga said: kama yupo na mpenzi kumshika shika mapaja ovyo bila aibu....... Click to expand... hapo umenikuna kasaaaaa
miss chagga said: kama yupo na mpenzi kumshika shika mapaja ovyo bila aibu....... Click to expand... hapo umenikuna kasaaaaa
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Aug 20, 2014 Thread starter #27 Galadudu said: Aliingia akiwa hajui kucheza mzk lakin zikianza kukolea yeye ndo anakuwa super nyamwela, na kuimba nyimbo zote za kilingala kama yeye ndo bileku mpasi Click to expand... hii yenyewe kabisa aisee
Galadudu said: Aliingia akiwa hajui kucheza mzk lakin zikianza kukolea yeye ndo anakuwa super nyamwela, na kuimba nyimbo zote za kilingala kama yeye ndo bileku mpasi Click to expand... hii yenyewe kabisa aisee
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Aug 20, 2014 Thread starter #28 Excel said: Aibu huwa inaenda field kwanza...! Maneno mazito mazito huchomoka hata mbele ya baba/mama mkwe/mke/watoto/ndugu/jamaa/marafiki na viumbe vingine! Click to expand... hii imemtokea cousin wangu majuzi
Excel said: Aibu huwa inaenda field kwanza...! Maneno mazito mazito huchomoka hata mbele ya baba/mama mkwe/mke/watoto/ndugu/jamaa/marafiki na viumbe vingine! Click to expand... hii imemtokea cousin wangu majuzi
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Aug 20, 2014 Thread starter #29 Mfarisayomtata said: kuanza kuwazoea meza ya jirani wakati mwanzo ata salamu hakutoa. Click to expand... ni kweli hapa
Mfarisayomtata said: kuanza kuwazoea meza ya jirani wakati mwanzo ata salamu hakutoa. Click to expand... ni kweli hapa
1 1701 JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 862 Reaction score 366 Aug 20, 2014 #30 Mnayoyasema ndo nayaona,kuna mzee hapa kibar cha mtaani ambacho anakimilik amelewa,ameamua kutoa offer tuu,nadhan stock itaisha withn a day
Mnayoyasema ndo nayaona,kuna mzee hapa kibar cha mtaani ambacho anakimilik amelewa,ameamua kutoa offer tuu,nadhan stock itaisha withn a day
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Aug 20, 2014 #31 Amavubi said: hapo umenikuna kasaaaaa Click to expand... Unafanyaga hivyo nini?
Tilitoo Member Joined Aug 19, 2014 Posts 25 Reaction score 2 Aug 22, 2014 #32 Kutoa aadi zisizo tekelezeka.
Baba Kapompo JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 1,344 Reaction score 468 Aug 22, 2014 #33 sifa kuu ya mlevi ni kujua dalili kuu za mlevi akiwa amelewa bcoz practise making perfect
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Aug 26, 2014 Thread starter #34 miss chagga said: Unafanyaga hivyo nini? Click to expand... walevi wote wanaokata network
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Aug 26, 2014 Thread starter #35 Mtz Huru said: sifa kuu ya mlevi ni kujua dalili kuu za mlevi akiwa amelewa bcoz practise making perfect Click to expand... definitely yes
Mtz Huru said: sifa kuu ya mlevi ni kujua dalili kuu za mlevi akiwa amelewa bcoz practise making perfect Click to expand... definitely yes
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Aug 26, 2014 Thread starter #36 1701 said: Mnayoyasema ndo nayaona,kuna mzee hapa kibar cha mtaani ambacho anakimilik amelewa,ameamua kutoa offer tuu,nadhan stock itaisha withn a day Click to expand... huenda amesoma huu uzi
1701 said: Mnayoyasema ndo nayaona,kuna mzee hapa kibar cha mtaani ambacho anakimilik amelewa,ameamua kutoa offer tuu,nadhan stock itaisha withn a day Click to expand... huenda amesoma huu uzi
B BOWTHRUSTER JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 397 Reaction score 175 Aug 26, 2014 #37 Ukimwambia asimamie mguu mmoja hawezi.
Mfarisayomtata JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 474 Reaction score 188 Aug 26, 2014 #38 akikumbuka mambo ya zamani anaanza kulia, mi kuna jamaa yangu akilewa tu hapo baa utafikiri pametokea msiba analia mpaka unaweza kumramba makofi.
akikumbuka mambo ya zamani anaanza kulia, mi kuna jamaa yangu akilewa tu hapo baa utafikiri pametokea msiba analia mpaka unaweza kumramba makofi.
carter JF-Expert Member Joined Jan 23, 2009 Posts 3,664 Reaction score 4,272 Aug 26, 2014 #39 Mfarisayomtata said: akikumbuka mambo ya zamani anaanza kulia, mi kuna jamaa yangu akilewa tu hapo baa utafikiri pametokea msiba analia mpaka unaweza kumramba makofi. Click to expand... Huyo anakunywaga konyagi bila shaka! Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
Mfarisayomtata said: akikumbuka mambo ya zamani anaanza kulia, mi kuna jamaa yangu akilewa tu hapo baa utafikiri pametokea msiba analia mpaka unaweza kumramba makofi. Click to expand... Huyo anakunywaga konyagi bila shaka! Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Sep 15, 2014 Thread starter #40 carter said: Huyo anakunywaga konyagi bila shaka! Sent from my WhiteBerry using JamiiForums Click to expand... konyagi za tandale uzuri zitakuwa
carter said: Huyo anakunywaga konyagi bila shaka! Sent from my WhiteBerry using JamiiForums Click to expand... konyagi za tandale uzuri zitakuwa