Dalili hizi ni za kupendwa ama?


kwani hatupaswi kuwarespect wapenzi, waume au wake zetu?
 
Kaka kula mzigo akuheshimu acha ujinga atakufanya shoga yake sasa
 
kama anakueleza kila kitu cha kwake huo sasa ni umbea wa wanawake shauri yako
 
Sina hakika kama hiyo ni dalili ya kupendwa, ila kwa upande wangu ni kawaida sana na kama ni dalili ya kupendwa basi mimi napendwa na wanawake wote ninaozungumza nao! mimi naona ni dalili ya uaminifu wako kwake, kama huna mazoeano kimazungumzo na watu, ni kawaida kwa mtu yeyote kwani anajua hutasema, kinachowafanya watu wengi wa jinsia zote kutoongea mambo yao binafsi kwa wengine sio kwamba hawawapendi, sivyo bali wanakuwa na wasiwasi wa kusambaziwa maneno, jichunguze uhusiano wako na watu wengine ukoje, ndo utajua sababu ya jambo hilo kutokea, ila inawezeka akawa anakupenda kimapenzi lakini hiyo siyo hoja kubwa.
 
yaani hapo ukileta mapenzi ndo uharibu kila kitu,we cheza karata zako vizuri, mega mzigo kisela huku unaendelea kumpa usharudi.
 
jiangushe kwenye penalt box af subria filimb
 
we nawe hebu acha ushamba huyo aweza kua anakupenda tu kikawaida, mfano mie binafsi naweza kukueleza ishu binafsi kibao na hata kulala nawe same bed bila kufanya chochote...its a matter of natural love and affection ambayo hata mzazi anawezakua nayo kwa mwanae, so unakuwa bro wa hiari ulonikaa rohoni lolest...
NOTE HOWEVER: vise versa is true..(yawezekana anakungoja umwambie tu kuwa nawe umefall)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…