Kwanza badili mwandiko wako, kalamu yako inaumiza macho kusoma.
Pili, nyinyi wote mazuzu, bora mtiane ili mheshimiane.
Mimi ni kijana wa kiume nimetokea kuwa na urafiki wa karibu na Dada Mmoja {Normal Friend} ukweli sijawahi kumtongoza lakini nipo free kwake kumwambia kitu chochote,,lakini karibuni ameanza kuniambia personal issue nyingi ambazo naweza kusema ni ngumu kwa mwanamke kumwambia mwanaume wa kawaida,pia tunatoka pamoja,tunakula pamoja,lakini cha ajabu mpaka akitongozwa na Mtu huwa ananiambia na ananiomba ushauri,,,Ukweli nimeanza kuvutiwa naye but i respect her a lot.Je wana jamii naombeni msaada ni mambo ya kawaida au ni dalili za kupendwa?

Sidhani kama huu ushauri unafaa kuzingatiwa
mpeleke lorge halafu uone kama anakupenda au laa
bora mtiane ili mheshimiane.
Sasa anampelekaje? Anamteka ama under gun point?