Dalili 10 za mwanamke msaliti

Hii chai..kwendrah[emoji57][emoji57]
 
Asante kwa checklist mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah
 
Acha utani mkuu.??? Na wewe ulikuwa unamla tope au???[emoji23][emoji23]
 
[emoji847][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Seriously kbsa broo au chai hii
 
Daaaah mkuu hakika hapo huwezi kupata usingizi...najua kilichokuuma zaidi ni kule nyuma ambapo wewe huwa hugusi lakini wadau wanapabomoa bila wasiwasi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
9. Anajiamini sana katika mambo yake.
Sometimes unamuona kama hahofii sana kukupoteza. Hahofii matokeo mabaya ya jambo mnalotaka kulifanya, hahofii chochote juu yako. Anakuona wewe ni wake tu. Huyu ana mambo mengi sana. Mchunguze
Hili nimelichukua
 
Like death call astqkafir walai
 
Pia anaweza asionyeshe hizo dalili na akawa analiwa tu nje, cha muhimu mwanamke sio wa kumuamini hata siku moja.
 
UYASEMAYO NI KWELI ILA MWANAMKE WAKO AKISHAKUAMBIA IGA WANAUME WEZAKO YANI KIMBIA UPESI NA HATA MTOTO KATAA KABISA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…