Dalili 10 za mwanamke msaliti

Mke wangu akigundulika kuwa na dalili mojawapo tu nampiga chini siku hiyohiyo faida za kufanya hivyo ni
1. Uhuru
2.Magonjwa ya moyo
3. Kula starehe bila bu.....
4. Ataenda kuanza maisha bila kugawana mali maana ataondoka kwa aibu.
 
Wengine tunaugulia maumivu tu ila kwa kuwa tulishayavulia maji nguo..hatuna budi kuyaoga! Tafiti zangu ndogo nilizofanya na zenye mafanikio makubwa, nimegundua wanawake wengi hasa walio katika ndoa wanatoka nje baada ya kusikia story kutoka kwa wenzao ambao hawajaolewa au waliopo kwenye ndoa wakiwa wamezoea mambo hayo, kingine wanawake wengi wanapenda kujaribu ladha tofauti na ile waliyoizoea siku zote...hapa ndio kwenye tatizo sasa...kikubwa zaidi ni tamaa!
 
For God's sake, why umshtue mtu? Kwamba sina maisha mengine maisha yangu yote ni wewe? Umepanga kitu nishirikishe mimi mtu mzima atii nna ratiba zangu pia[/QUOTE
Sijasema ni lazima uwe msaliti. Nimesema ni dalili. Kwa mfano mwanamke kuwa na kichefuchefu asubuhi ni dalili ya mimba. Lakini sio kila mwanamke anae pata kichefuchefu asubuhi ana mimba inawezekana ni hang-over.
 


WANGU HANA HATA MOJA YA HIZO, KESHANISALITI.... SO? THEY ARE SMART, THEY DO THE OPPOSITE.
 
Mi nnazo zote hzo dalili lkn si cheat
Ku cheat sio lazma umvulie nguo kabisa mwanaume/mwanamke mwingine ama uende na lodge kusex nae.Hapana!

Cheating huanza pale ambapo tu utatoa namba ya simu kwa mtu kisha kuanza mazoea ya kumu entertain kimapenzi (calling pet names to each other, sexting, going for dates)na mtu mwingine zaidi ya mpenzi uliye na committment nae. Mara zote haya hufanyika kwa kificho.

Hali hio ndio itakulazimu uanze kuficha ficha simu au kupokelea simu pembeni, passwords lukuki, kufuta message na call logs ili tu mpenzi wako asizione, kuzima simu pindi uingiapo nyumbani. Haijalishi ni kwa mema au mabaya ila kwa kufanya hayo machache ni kidhibitisho tosha cha cheating.

Hivyo ji assess, kama una tabia hizo we ni cheater tu ila hujakamatwa bado!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…