Dalali mashamba iringa

slick

Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
23
Reaction score
0
Wiki kadhaa zilizopita baada ya kutangaza ninauza shamba la ekari 589, lililopo iringa wilaya ya kilolo.. Nimegundua watu wengi wanauhitaji wa mashamba kuanzia ekari moja na keuendelea.

Sasa kwa watu wote wanaohitaji mashamba huku pande za iringa wawasiliane na mimi. Sitaongeza au kupunguza bei bali nitahitaji 5% ya bei ya shamba kama gharama ya huduma hii

Mawasiliano: 0718 835 549
 
hayo mashamba yanauzwaje kwa heka?
 
ekari moja bei gani je yamefyekwa au ni mapori pili maji yanapatikana? naweza lima zao kama kitunguu au tikiti?
 
Bei ya mashamba ni kuanzia 200,000 - 700,000 kwa ekari, bei ni kulingana na umbari kutoka mjini, Ukaribu au uwepo wa maji, Pia yapo yaliyofyekwa na ambayo hayajaandaliwa. Iringa imejariwa na ukanda unaokubari vilimo vya aina nyingi sana kama matunda, Mboga mboga na mazao yote ya chakula. Pia mashamba huku yapo karibu na mengine ambayo katikati ya shamba kuna mito isiyokauka
 
je shamba karibu na mto naweza pata kwa bei gan ambalo limefyekwa na linalofaa kwa kilimo cha kitunguu au tikiti maji
 
Kwa mahitaji hayo utapata kwa 550,000/= km 70 kutoka iringa mjini
 
Kwa bei nliyokutajia hapo ni kwa shamba lenye hati kamili, lina maji na lipo ndani ya km 70. Bei chini ya hapa ni mashamba ambayo yako mbali zaidi hayana hati pia yanaeza kua hayana maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…