Neno daladala ckumbuki exactly mwaka lilipoanza kutumika icpokuwa reason ya kuitwa hivyo ni Kuwa wakati huduma zinaanza nauli yake ni sh 5 ambayo exchange rate yake kwa kipindi hicho ilikuwa ni $1 sasa watu badala ya kusema dollar wakawa wanaita dala. Ni sawa na eneo la chekereni pale moshi,asili yake ni "check a train" sbb kulikuwa na kibao cha rail-road crossing. Nawasilisha