nimecheka mpaka basi...
sasa watu hao,wapo pia maofisini...
unakuta haupo kwenye mood ya story,mtu huyo....hanyamazi...
Dereva asipoambiwa na konda simamisha hasimami..
<br />Mmmh, we muongo na kamwe usiwapotoshe wenzio.................dereva hasimami,......anasimamisha gari
unafikiri ungetumia neno lingine usingeeleweka?Dereva asipoambiwa na konda simamisha hasimami..
Mwenyewe pia nimewaza mbaliiiii....unafikiri ungetumia neno lingine usingeeleweka?
hapo umpe konda nauli haijatimia atakutukana had ukome!ila ukimwambia kabla hujapanda haina shda!daladala zina raha yake bana.
Ukikaa siti ya mbelembele akaja babu/bibi watu wanakuangalia wewe ili umpishe, akishukia njiani mtu mwingine anakaa kwenye ile siti hata kama aliona ulimpisha mtu.
Jungle mentality ya kugombania daladala ilinishinda. Unajikuta unapigana vipepsi na mama mwenye mimba, au watoto wa shule na vilema. Konda kijana kijinga kijinga kinawa control watu wazima na akili zao eti mkifika Posta anaitisha abiria wapya kabla mliomo ndani hamjashuka, halafu mnajikuta mnamgombania mpaka kushuka kama stone age neanderthals. Nilikuwa najaribu ku save on gas nikaona you know what, this bull crap ain't worth losing my humanity, eff
daladala.
<br />
<br />
ha ha! Km vile nakuona ulivyokuwa unamkenulie tabasam la uongo, ye ndo bichwa hilo, mara jairo hivi mara masabur namjua, ooh! Shimbo !