Wakiruhusu tu daladala utashangaa na wath binafsi wamejichomekeza nao matokeo yake hio fast lane inakuwa na msongamano vile vile.
Akili ambayo ingetumika ni kuchaji hela kwa ambaye anajihisi ana haraka kutumia njia hio kwa muda flani esp. jioni na asubuhi ambapo foleni huwa kali.
Waweke road Toll hata 10K tu kwa gari ndogo na 20K kwa gari za size ya kati esp. SUV's kama ma Prado, VX V8, Touareg n.k! Wenye hela watalipia Serikali itaingiza hela ambao pia najua watu hawatakuwa wengi maana wataitumia wale wenye urgent cases.