Mwendokasi wanazingua sana aisee kwa upande wa muda.
Magari ni machache mno na ni ya kusubiria sana hii inachelewesha sana aisee kama wameshindwa waruhusu daladala zianze route ya kimara kupunguza foleni.
Lengo la mwendokasi lilikuwa ni kuokoa mda na kupunguza foleni na kero ya usafiri lakini naona hilo lengo halitimizwi kwani kero ya usafiri iko palepale.