Abiria wanazidishwa Ila hawasimami wanachuchumaa hapo kati. Kuhusu kwanini Canter na sio basi, sababu niliyopewa ni kuwa Canter zinaweza fungashwa mzigo wa kutosha juu kuliko vipanya au coster maana hayo magari (chai maharage) yanapiga ruti za shamba.
N.B: coaster pia zipo hasa ruti za kaskazini.