Daladala za Zenji

Imezoeleka si ajabu kwao, ila mgeni lazima ubabaike kidogo
 
Wanaruhusiwa kusimamisha abiria? Maana sioni aliyesimama kati atashikilia wapi. Na je wamezuiwa kutumia mabasi? Je kwa wamiliki wa hizo biashara ipi ni faida kwao kutumia hizo canter au bus ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…