Mkuu! Ina maana tangu pakuche hauJapata kusikia Arusha baadhi ya njia Daladala ziligoma? Mpk Sumatra wakaingia kati na ndiyo wakaanza root zao?? Muda mwingine mperuzi kwanza kabla ya kufoka utafikiri mmetoka kwenye mbege. Kibudu wewe.
Hii sio face book wajameni....................Unasoma topic, unajiuliza maswali mengi.....mada iko hewani saana. Dah! kama ilivyo watu ni wavivu wa kusoma now Uvivu mpaka kuandika.....................mwisho hata kufikiri inaenda kuwa TATIZO