Daladala ya Mbagala yapata ajali Kigamboni

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,485
Basi iloangukia daraja la mwongozo Kigamboni leo hii
013330e1-ad9f-462c-8810-d9981dc6278e.jpg
fef9b80e-8bef-4aef-a56c-f2d0b4cb8564.jpg
cd5ed7c2-5d10-48a4-91dd-fca4e9f7340c.jpg

Ntawaletea habari zaidi
 
Duuuuu....pole yao wahanga, ila dala dala za mbagala zizingatie mwendo mzuri, maana kuona maeneo kama konda ya sabasaba (KTM /njia panda ya kwenda mbagala kuu ) aiseee gari huwa zinakimbia afu kuna kona na mteremko mkali sana, huo nimetolea mfano tu wa maeneo tatanishi na yanayoweza let's madhira kwa jamii
 
kuiba ruti sometimes mbaya sana kesi inamkalia vibaya dereva
 
Back
Top Bottom