njoo mwanza boss huku ndo mambo yoteNaomba mwongozo jamani...
Kazi ya daktari wa mifugo/veterinarian zinalipa sana maeneo gani hapa Tanzania?
Sorry mtoa mada, swali ulilouliza lina utata, ni swali ambalo mimi binafsi sijalielewa, unaposema inalipa una maana gani hasa?