iron woman
Senior Member
- Apr 22, 2013
- 147
- 19
Habari zenu wadau,
Naomba msaada kwa anayejua Clinic au Hospitali ambayo nitakutana na daktari mzuri wa meno anayeweza vizuri mambo ya rootcanal treatment crowning ambaye suala la kung'oa jino ni option yake ya mwisho.
Kwa mkoa wa Morogoro au Dodoms tafadhali naomba mnisaidie.