Wana Jf,
Kutokana na tafiti zangu za mdomo, naomba kama kuna daktari yeyote specialist wa mdomo au general practitioner ambaye huwa ana pata changamoto anapotoa dawa za mdomo kutoa harufu mbaya ila baada ya muda tatizo kujirudia na hivyo kushindwa la kufanya, naomba aje kwenye tuunde group ili niweze ku share experience na changamoto na jinsi ya kuzitatua kutokana na uzoefu wa kutibu. Ila majibu ya tafiti ya kila mtu itakuwa ni siri yake wala hatutatoa siri ya mchanganyiko wa dawa tunazochanganya ilatutajuzana changamoto na kinachotokea kwa sasa. Ni sms au piga 0767353513. Wenye tatizo sugu na ambao wameshapewa dawa ila tatizo la mdomo kutoa harufu mbaya na hivyo hulazimika kutembea na karafuu mdomoni, kutumia dawa kali za kuswakia, kuwa wanakula Big G mara kwa mara kama njia ya kutatua tatizo, walio shauriwa waendelee kula matunda kwa uwingi, walioshauriwa kuwa wanatumia asali mara nyingi kama kumsaidia kutibu tatizo la mdomo lazima tutawatibu watapona. Lazima mwenye tatizo aendelee kutumia dawa za kawaida za meno zisizo feki baada ya tiba ya siku 6 tu. Ambaye ni daktari karibu.