Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 3,915
- 6,716
Daktari kama huyu anapatikana Tanzania?
Wakuu hiiii lugha ya malkia ni ngumu,nimeelewa kote isipokuwa hapo " ditch your tv" docta anamaanisha Nini?Daktari kama huyu anapatikana Tanzania?View attachment 1679368
ha haWakuu hiiii lugha ya malkia ni ngumu,nimeelewa kote isipokuwa hapo " ditch your tv" docta anamaanisha Nini?
aache kuangalia TVWakuu hiiii lugha ya malkia ni ngumu,nimeelewa kote isipokuwa hapo " ditch your tv" docta anamaanisha Nini?
Asante sana boss,I will ditch my tv,haaaaaache kuangalia TV
Watu wenye akili kubwa hawaangalii TV
aache kuangalia TV
Watu wenye akili kubwa hawaangalii TV
Upo sahihiBali wanasoma vitabu