Changamoto2015
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 773
- 316
Nahitaji business partner daktari mtaalam, akiwa mstaafu ni vyema zaidi. Awe mkaazi wa dar es salaam. Mwenye uzoefu wa kutosha kwenye general medicine au hata huduma kwa watoto.
Lengo ni kushirikiana kuanzisha dispensary kwa pamoja. Tunaanza hatua ya mwanzo hadi mwisho kwa pamoja.
Lengo ni kushirikiana kuanzisha dispensary kwa pamoja. Tunaanza hatua ya mwanzo hadi mwisho kwa pamoja.