Daktari ha ha ha!!!

Globu

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,101
Reaction score
2,612
Daktari wa moyo amefanyiwa sherehe ya kustaafu, ikatengenezwa picha kuuubwa ya moyo. Ikawekwa picha ya daktari katikati ya ule moyo. Mtu mmoja katika waliohudhuria sherehe akacheka sanaa. Kaulizwa sababu ya kicheko chake. Akajibu ''mimi ni daktari wa bawasili, na wiki ijayo nastaafu, picha yangu itabandikwa wapi''???
 
hata wewe kwa hii avatar yako unaonekana una matatizo ya MOYONI.........
 
hata wewe kwa hii avatar yako unaonekana una matatizo ya MOYONI.........

Mkuu, kanda mbili zimekula kufuli!!! Ha ha ha. Uhuru wa Tanganyika na Mapinduzi ya Zanzibar. VIVA JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…