nguvumali
JF-Expert Member
- Sep 3, 2009
- 4,898
- 2,000
Leo nilienda kuonana na daktari bingwa wa Macho pale Muhimbili.
nimeingia ndani ya chumba cha bingwa huyo nikakuta ni kijana ambaye havuki miaka 35.
nikamuuliza nimekuja kuonana na bingwa wa macho....kijana akasema ndio yeye bingwa...!
niwaulize bandugu, ubingwa wa daktari wa tiba unaangalia nini ? Mimi nilidhani elimu plus working exprience .