Daktari aliyesoma CBG

Acha ushamba na ujinga. Vyuo vipi kufundisha madaktari sio kupitisha madaktari. Kama chuo kinafanya kazi ya kufundisha kwa ufasaha hata mtu wa HGL anaweza kusoma udaktari.

We ndo mshamba..huijui medicine were..we unadhani medicine ni kitu rahisi kila mtu anaweza soma?nyamaf
 
Try doing radiology or cardiology..even basic stuff will sound weird n difficult to you

radiology wanasoma watu wa O level na ni radiographers wazuri, acha hizo, watu mara nyingi wanakosa access to opportunities tu lakini haina maana alofanya PCB ni mkali zaidi, it is a game of chance. Ujue huwa mara nyingi hatuna choice inabidi usome kitu kwa vile ndo ulipopata
 
C'mon pple..you apply physics in tappin fluids from the body..electrocardiography..n so many...alafu it's not fair mtu ALIYESOMA an easy combo of subjects..Tuulize sisi tunaojua..au unataka kutibiwa na jitu lisiloelewa linachofanya..unajua mtu akiwa anafanya kitu kwa kuelewa na experience huyo anakuwa very flexible akiona any new changes..tofAuti na jitu la CBG halielewi fluid principles..electricity..waves alafu linakutibu tuu..Kama robot..hawezi kureason vitu kwa kutumia principles za physics za kawaida anang'aa sharubu..kamwekea mgonjwa drip ya maji mgonjwa kachanganyikiwa kichwa kinamuuma hajui nini kinaendelea
 
Kumbe wewe ni miongoni mwa wale wanaookota maneno ya mitaani na kuyaamini.
Kalagha bhao...
 
We ndo mshamba..huijui medicine were..we unadhani medicine ni kitu rahisi kila mtu anaweza soma?nyamaf

Tatizo lako unajiona una akili saaaaaaaaaaaaana which is good, lakini sasa tumia akili zako hizo kujifunza mifumo mbalimbali iliyopo duniani na jinsi inavyofanya kazi.
 
Haha..nimekusoma ndo hao wanafanya vitu bila kuelewa kwa kucram..mwisho wa siku ndo kulipua lipua na kuua wagonjwa kwa false diagnosis..mnaridhika na poor quality service..ma radiologist tz Hawazidi 15..wengine kama hao ma CBG wanapakazia watu magonjwa Kama pneumonia na tb..au laZma wawaconsult madaktari wa ukweli..
 
upeo wako wa kufikiri unanitia shaka, ngoja nikuachie uwanja. cheerio mr muchknow
 
Tatizo lako unajiona una akili saaaaaaaaaaaaana which is good, lakini sasa tumia akili zako hizo kujifunza mifumo mbalimbali iliyopo duniani na jinsi inavyofanya kazi.

achana naye huyu anaupeo finyu sana, kwanza soma kwa makini uzi alouanzisha
 
senselessssssssssssssssssssssssss
 
Tatizo lako unajiona una akili saaaaaaaaaaaaana which is good, lakini sasa tumia akili zako hizo kujifunza mifumo mbalimbali iliyopo duniani na jinsi inavyofanya kazi.

Ninayo akili sana..na ninajiamini kupita maeleZo..I thank the almighty for that..sijisifu ila ni reality..najijua na ninaona iq yangu inavopeform wonders..nimetembea nchi zenye best quality ya healthcare..background ya madaktari Ina physics bro..ata kama Ana degree nyingine..ila principle subjects anakuwa kashazimasta Kabla ya Kuwa doctor
 
Background serves only as an added advantage, it has nothing very special to do with what a profession a person is pursuing at the University. When you go there, you start over, very new things...of course background helps but its not necessary... Hata mtu wa HKL can be trained and become an MD.
 
why you think that any doctor must study physics for two years( a level)
What so special so that CBG cant become a good doctor without physics? You have to convice us and we dont want blah blah here.
I just wanna know. Whats so special in P?

45% of clinical medicine ni chemistry,40%ni biology,15%ni physics, geography is 0% ALEVEL
PCB=45+40+15=100%
CBG=45+40+0=85%
CBG anaweza kusoma medicine vizuri ila atakuwa na mapungufu machache tu ambayo mimi nayachukulia kama neglible,ivyo CBG anastahili kusoma medicine kwani chemistry na biology contributes so much.
 
Tangu nimejoin jf sijawahi kusoma comment ya hovyo kama hii. Unawadharau wenzio kwa kuwaita majitu kisa tu eti wamesoma comb unayoitaja kuwa rahisi cbg.

I can see s'thing is wrong in ur mind and probably ur out of ur conscious zone. Shame upon u!
 
Mbona hapo hakuna shida kabisa kwani kwenye medicine kinachotakiwa zaidi si ni chemistry na biology (application ya physics si kubwa sana na isitoshe huyu jamaa alisoma physics O-level). Watu wamesoma PCB sasa hivi ni wahasibu na hawakuwa na background ya Book-keeping wala Commerce sembuse mtu wa CBG kusomea udaktari?.
 
45% of clinical medicine ni chemistry,40%ni biology,15%ni physics, geography is 0% ALEVEL
PCB=45+40+15=100%
CBG=45+40+0=85%
CBG anaweza kusoma medicine vizuri ila atakuwa na mapungufu machache tu ambayo mimi nayachukulia kama neglible,ivyo CBG anastahili kusoma medicine kwani chemistry na biology contributes so much.
 
Tangu nimejoin jf sijawahi kusoma comment ya hovyo kama hii. Unawadharau wenzio kwa kuwaita majitu kisa tu eti wamesoma comb unayoitaja kuwa rahisi cbg.

I can see s'thing is wrong in ur mind and probably ur out of ur conscious zone. Shame upon u!

Anaposema combi rahisi ame-base wapi maana mtiani wa Chemistry, Biology na BAM anaofanya mtu PCB ndio huohuo anaofanya mtu wa CBG tofauti ni kwamba huyu ana Physics na huyu ana Georgraphy.

Isitoshe elimu ya Tanzania kuna miaka kabla ya syllabus kuchakachuliwa mwanafunzi wa O-level jinsi alivyokuwa nondo anaweza kuingia chuo directly kwa baadhi ya course maana unakuta mtu anaingia A-level anakutana na topics ambazo nchi nyingine watu wamesoma mwaka wa kwanza chuo.
 
Me napita tu hapa..ngoja niwaache wakuu..maana I dd CBG na walinidamp kusoma huo udoctor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…