Huyu Daktari simshangai. Kumbe kwao ni Kanungu! Mnamkumbuka Padri Kibwetere yule aliyeuwa maelfu ya waumini wake kwa kuwachoma moto ndani ya kanisa huko Uganda? Hiyo ilitokea Kanungu. Inaonekana watu wa huko ni natural sadists.amefaidi nini sasa??? binadamu wengine sijui wakoje, hii ni laana na naamini itamtafuna yeye hata huko aliko pamoja na uzao wake wote
AMEN... am speechelessA prayer from a woman
May he be the charcoal in the HELL fire....say Amen