Daktari aambukiza UKIMWI wanawake 782


M-bongotz

M-bongotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Messages
1,734
Likes
44
Points
145
M-bongotz

M-bongotz

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2010
1,734 44 145
This should send shock waves all around! A Kampala doctor with a negative sense of preserving human life has died, leaving behind a list of 782 women and girls he infected with AIDS in the last few years of his life. Dr. Byarugaba was running a clinic in Nakulabye, a Kampala suburb.

He died last week and was buried in Kanungu district in Western Uganda.
A friend of the dead doctor has revealed to 256news.com that the doctor suffered with AIDS for over five years. Days before he died, Dr. Byarugaba called his friend and told him how he had infected almost every female patient who went to his clinic, either to abort or for other forms of medical care. He also disclosed that he had infected hundreds of other women in Kampala most of whom are in night clubs, bars, hotels and restaurants.

The doctor would reportedly sedate his victims with chloroform, have sex with them and then let them go. Some of them do not even know they were infected, the friend of the doctor has revealed.

This is terrible news. For 782 ‘innocent' people to get infected with Aids just like that shows that people have different hearts in this world and Aids is following us everywhere.

Dr. Byarugaba's case is a classic example of serial mass murder; as he knew his status but went on to share it out to innocent patients whom he would rape after knocking them unconscious. This effectively gets them underway to the slowest painful death mankind has ever known. How unkind!

Source: www.256news.com
 
Maria Roza

Maria Roza

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2009
Messages
6,816
Likes
265
Points
180
Maria Roza

Maria Roza

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2009
6,816 265 180
Kuna watu wana roho za ajabu jamn!!
 
Naumia

Naumia

Member
Joined
Jan 30, 2009
Messages
78
Likes
4
Points
13
Naumia

Naumia

Member
Joined Jan 30, 2009
78 4 13
Kazi ipo...mimi naona kila Doctor awe anaingia na nurse kwenye chumba cha mgonjwa wakati anafanya matibabu yoyote kama ulaya wanavyofanya.Atleast hii itapunguza ubakaji jamani!!!
 
M-bongotz

M-bongotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Messages
1,734
Likes
44
Points
145
M-bongotz

M-bongotz

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2010
1,734 44 145
Inabidi tuwe tunawasindikiza wenzi wetu wakiwa wanaenda hospitali, tena ukigundua kuwa anaingia kwa dakrari wa kiume ndio unagoma kabisa kumwacha aingie peke yake, lazima umsindikize hadi ndani ati maana imeshakuwa noma sasa..
 
MadameX

MadameX

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2009
Messages
7,839
Likes
84
Points
145
MadameX

MadameX

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2009
7,839 84 145
A prayer from a woman
May he be the charcoal in the HELL fire....say Amen
 
Prodigal Son

Prodigal Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2009
Messages
972
Likes
82
Points
45
Prodigal Son

Prodigal Son

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2009
972 82 45
amefaidi nini sasa??? binadamu wengine sijui wakoje, hii ni laana na naamini itamtafuna yeye hata huko aliko pamoja na uzao wake wote
 
M

matambo

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2009
Messages
728
Likes
13
Points
0
M

matambo

JF-Expert Member
Joined May 14, 2009
728 13 0
this is terrible to read,but god knows what to do with him
 
RayB

RayB

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2009
Messages
2,754
Likes
94
Points
145
RayB

RayB

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2009
2,754 94 145
Hapo ni kufanya utafiti wa watu wote waliotibiwa na huyo mnyama au wenyewe wakisikia habari waende wakapime fasta, du hiyo kazo watu hao mbona ni wengi sana?
 
S

Subira

Senior Member
Joined
Mar 7, 2009
Messages
167
Likes
11
Points
35
S

Subira

Senior Member
Joined Mar 7, 2009
167 11 35
inauma sana kusikia haya haswa ukizingatia wakinamama hawa walimlipa kama daktari ila kununua maovu ya huyu nduli achomwe na moto wa mawe huko aliko
 
Ruge Opinion

Ruge Opinion

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2006
Messages
1,770
Likes
362
Points
180
Age
64
Ruge Opinion

Ruge Opinion

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2006
1,770 362 180
amefaidi nini sasa??? binadamu wengine sijui wakoje, hii ni laana na naamini itamtafuna yeye hata huko aliko pamoja na uzao wake wote
Huyu Daktari simshangai. Kumbe kwao ni Kanungu! Mnamkumbuka Padri Kibwetere yule aliyeuwa maelfu ya waumini wake kwa kuwachoma moto ndani ya kanisa huko Uganda? Hiyo ilitokea Kanungu. Inaonekana watu wa huko ni natural sadists.
 
FirstLady1

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Messages
16,727
Likes
802
Points
280
FirstLady1

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2009
16,727 802 280
eeeh mungu sijui umpe adhabu gani huko alipokwenda ni unayama gani huu aliofanya?
nadhani kweli kuna umuhimu wa wenza wetu kuongozana na sisi katika swala zima la matibabu naogopa
 
Mahmood

Mahmood

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2008
Messages
7,799
Likes
1,385
Points
280
Mahmood

Mahmood

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2008
7,799 1,385 280
Huyu Daktari ni adui mkubwa sana, kawadhuru watu 782 kwa makusudi !!! ataona cha mtema kuni huko akhera.
 

Forum statistics

Threads 1,251,877
Members 481,931
Posts 29,789,033