Dakika kumi tu zilitosha kwa Kikwete kutoa international consultancy

SONGOKA

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
1,841
1,843
wakati watanzania tukisugua miguu miaka zaidi ya mitatu kutafuta high end consultancy ni tofauti kwa wenzetu wageni kumbe.
Ni kama huyu dada mkenya anavyojitapa huko fb, anaitwa Cynthia Nyamai (sina uhakika kama iyo kazi aliyopewa na Mr pRESIDENT hapakuwa na mtanzania anayeiweza)

"World Economic Forum 2014 Abuja. The president invited the African president's for dinner and I was chatting with friends when I saw the then Tz President Kikwete. So I dared myself to stop him, say hi and introduce myself and my PR firm. With a million butterflies in my stomach I slowly said excuse me and pulled my hand out to say hi. And I froze waiting to see if security would shove me out or something worse . But God was on my side and the president said hi back.... Luckily I had read lots about him and CCM so we had lots to chat about. Before I knew we we had chatted for 10min and I gave him my business card. A few days later I got a phone call and a few months later the job I wanted. Nothing is too big for my God. I'm learning to ask Him for big dreams and what seems impossible. I want my life to one big adventure of conquering the impossible. Nothing is impossible if you put your trust in God!"

Cynthia Nyamai | Facebook
 
Hizo dakika kumi mbona nyuingi sana, yule jamaa pale muhimbili ilikuwa chini ya dakika moja jamaa akapata tiba na kufukuzisha kazi watu kibao.
 
Hizo dakika kumi mbona nyuingi sana, yule jamaa pale muhimbili ilikuwa chini ya dakika moja jamaa akapata tiba na kufukuzisha kazi watu kibao.
ha ha ha uwezo wako wa kulinganisha matukio umenifurahisha, unalinganisha korosho na nanasi,
 
Namqoute, "Nothing is too big for my GOD. Nothing is impossible if you put your trust in God."

Hii nadhani ndo KEY ya kupata kibali. Bahati ya mwenzio hiyo, kuna wangapi hawakufanikiwa kupata hizo nafasi?

Tusikuze mambo!
 
kwaiyo Mungu yuko Kenya tu??
 
kwaiyo Mungu yuko Kenya tu??
Hata hapa Yupo. Anagawa baraka kadri apendavyo.

Okay, labda nikuulize;
1. Point yako hasa ni nini kuhusu hili?
2. Je! Umefanya utafiti kujua ni wangapi walimfuata JK na ndani ya dakika 10 wakapata hizo nafasi?
 
Maama mama maaama mama huyooooo mama mama huyoooo maaama mama huyooo mama
Maaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaama huyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
sasa bila utafiti ningemjuaje Cynthia,
Point yangu ni why the outsider, especially in a PR related work, which we have hundreds of qualified Tanzanian Firms
 
Kwakuwa hakuna sheria ya kumshitaki rais aliyemaliza muda wake, basi tuache kumtaja JK maana tunatonesha vidonda. JK left liability instead of legacy.
 
Maama mama maaama mama huyooooo mama mama huyoooo maaama mama huyooo mama
Maaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaama huyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

Ninawasiwasi,hivi hii skirt ilipita bila kuguswa???
 
sasa bila utafiti ningemjuaje Cynthia,
Point yangu ni why the outsider, especially in a PR related work, which we have hundreds of qualified Tanzanian Firms
Nakubaliana na wewe kuwa tuna qualified firms kama ilivyo kwa wenzetu. Ila wao wanatuzidi kitu kimoja tu, "CONFIDENCE." Sisi tumezubaa mno.

Niambie ni wazawa wangapi wana UJASIRI kama huo wa kuweza kumapproach Rais personally kama hivyo na kumuelezea kuhusu activities zao? Ni wachache mno.

Hebu tuache kulalamika na tuchukue hatua zaidi. Huwezi kukaa nyumbani kwako halafu utegemee Rais akupe tenda.

Rais Magufuli pia kalisema hilo. Akiwataka vijana wenye nia waanze na yeye atawabeba. Watu wamekaa wamezubaa mpaka sasa, wanalalamika tu!

Huyo dada alimvutia rais kwa namna alivyojielezea. Hakuna cha skirt wala nini? Kwani ni yeye peke yake anayevaa skirt duniani?

I am optimistic after what she did. Wonderful..!
 
Back
Top Bottom