Dakika chache tu baada ya kifo chako

Unaamka,unawafokea waache ujinga halafu unaendelea kufa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wanakujibu pia ''acha ujinga'' jeneza bei mbaya hilo, tutaliuza tena? ohooo!!! rudi kifoni huko!! kuna walio pinda msibani! wachawi, walevi, wavuta bangi, walio jichokea maisha wamekuja kugonga menu tu hapo!!! wewe unacheza nini!

tena wanakujibu hapo hapo usituharibie moody ya stimu!!! rudi huko kenge wee!! ...sasa hapo Ngoma drooo!! nani zaidi!! usidhani utawatisha walio pinda!...mkeo atabaki kujisemea ''sasa jamani hee! sasa....

Tena wana sisitiza na kusema heee!! amekufa tena!! teehteh! teh! kwkakwkakakakak gggeggegegeg.... mijitu imepinda wewe....
 
Nawaambia poa tu masela.Nanyi mkifa siji!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…