Dakika chache tu baada ya kifo chako

Tena wanasema mzike haraka watu wale dah.

Jamani mwenye ka hela kake ale siku ukizima wanakula bila huruma. Hii ndo kinyaji napenda kuliko vyote.

Mimi nimejiwekea kila siku lazima ninywe lita moja na nusu ya maziwa,

sinywi pombe starehe nyingine sizijui nishindwe kula kitu moyo unapenda? Noo

Kufa hela yako ukaacha bank, tellers wakaiba kidogo, wasimamizi wa mirathi nao wakala , ndugu wakagombana, ndugu kila siku hakikisha unakula kitu moyo unapenda.
 
Umeona eenhh??!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…