Kipindi hiki huwa hewani kila jumatatu baada ya taarifa ya habari mpaka mida ya saa nne usiku.
Kipindi hiki kilipata umaarufu zaidi enzi za mtangazaji mmoja aliyekuwa kwenye timu ya kampeni za Magufuli kipindi kile cha uchaguzi Mkuu wa 2015.
Kwa sasa kipindi kinaongozwa na jamaa mmoja anayeitwa Sam Mahela,kusema ukweli kipindi kwa sasa hakina mvuto.
Maswali anayauliza yeye na maelezo anayatoa yeye,sasa najiuliza kuna haja ya kumuita MTU?
Yaani mara nyingine anaboa mbaya,swali lina maelezo kibao,unafikiri insha.
Anauliza swali,kabla ya kujibiwa anajijibu mwenyewe
Yapaswa abadilike kurudisha heshima ya kipindi.
Angalau buhohela kuliko mahelaTangu aondoke SEMUNYU hicho kipindi kilipoteza mtu muhimu na aliyekuwa anajua kuuliza maswali kulingana na mgeni wa siku hiyo. Hata Buhohela alipwaya sana...!! SEMUNYU WAS THE BEST...!!
Tafakari...!!
Angalau buhohela kuliko mahela
bashiteKwahiyo unataka tumpe nani hiki kipindi?
bashite
Hata Mimi nilipoona kimeanza kuwa recorded sijawai umiza kichwa shida nyingine wanaitwa wanasiasa nikimaanisha mawaziri most of the time kwanini asiitwe headmaster wa shule iliyokuwa ya mwisho kitaifa na Afisa elimu wakekwanza tangu kilivyokua ni recorded sio mubashara tena nikaachana nacho mazima nimewaachia wengine
Kipindi apewe Daud Bashite mwizi wa vyetiHili jukwaa tangu aondoke 2008-2010...limepoteza muelekeo...watoto wa mama mmejazana sana humu mnalichafua na kulishusha hadhi.
Labda PaskaliKwahiyo unataka tumpe nani hiki kipindi?
Tangu aondoke SEMUNYU hicho kipindi kilipoteza mtu muhimu na aliyekuwa anajua kuuliza maswali kulingana na mgeni wa siku hiyo. Hata Buhohela alipwaya sana...!! SEMUNYU WAS THE BEST...!!
Tafakari...!!
Sio suala la kumpa nani,suala ni yeye kubadilika.Kwahiyo unataka tumpe nani hiki kipindi?