Daima usikate tamaa!!

Agwe wa Kongwa ana roho ya kimasikini sana.
 

Lissu akiwa mahututi baada ya kupigwa nvua ya risasi.
 

Mbunge wa Singida mash Mhe Tundu Lissu akipelekwa Nairobi Kenya baada ya shambulio dhidi ya uhai wake kufanywa karibu na Bunge tukufu la Jamhuri ya Muungano
 

Tukaambiwa kuwa Mhe Lissu ameshambuliwa na Wasiojulikana full stop!
 

Wasiojulikana walikuwa na gari la serikali aina ya Nissan patrol lenye rangi nyeupe.
 

"Tukaambiwa Upelelezi hautafanyika mpaka Lissu mwenyewe atakaporudi 'labda aje ausimamie mwenyewe labda' tukajisemea moyoni"
"Watanzania tukapigwa na butwaa tukaanza kuwaza na kuulizana "Je kama wangefanikiwa kumuua ingebidi wasubiri mpaka afufuke?!"
 

Baada ya wasiojulikana kuondoa ushahidi muhimu wa CCTV camera sasa wanatumbua maisha raha mustarehe kwani suala limefikishwa kwa Spika.
 
So far so good... Lissu ndie mwenye hatia ya kwenda kusikojulikana.
Na wasiojulikana wanatanua maisha bila ya wasiwasi KARIBUNI KWENYE TANZANIA MPYA.
 

Haya msiojulikana na wenye majoho jipongezeni na chezeni makirikiri lakini kumbukeni siku yaja.
 

Je Lissu atatendewa haki?!..au wasiojulikana kutoka ngazi za juu wataendelea kuzuia haki...
 

Jamani ongeeni japo mkemee!!..mbona mpo kimya sana
 

Wasiojulikana bado wanarandaranda mitaani
 

Mzee!...mbona unafanana nao?!Mzee! mbona unaona upande mmoja tuu?! Mzee! Wapinzani pia ni Watanzania.
 

Nanyi wadukuzi mungu anawaona pia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…