Daima tutamkumbuka President Mrisho J.K

Daima tutamkumbuka President Mrisho J.K

JabagaM

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2013
Posts
539
Reaction score
357
Mh. Rais mstaafu J.K.Mrisho, alikuwa mtu watu mwenye bashasha asiye na makuu hata watu wamseme vipi. Ametuachia Jakaya Kikwete Heart Institute. Ok, hata kama ni pesa zetu za kodi lakini kitu kinaonekana na kinafaa sasa. Barabara za lami mkoa kwa mkoa wilaya kwa wilaya. Eee ni hivyo tu hata ukikashfu... Ulitaka rais awe baba ako au mjomba ako ndio uridhike. Tumepiga hatua na tunasonga mbele na Jembe letu hapa kazi tu President J.P.M
 
Mvua ikinyesha lawama

Jua likiwaka lawama
.ndio wabongo tulivo

*ila hali kweli ni ngumu
 
Big up jk, nimetambua uwezo wako! Nalipna gap lako, watalii wametukimbia, demokrasia imekufa, bandari imekufa, vijana hawaajiriwi!
 
Mh. Rais mstaafu J.K.Mrisho, alikuwa mtu watu mwenye bashasha asiye na makuu hata watu wamseme vipi. Ametuachia Jakaya Kikwete Heart Institute. Ok, hata kama ni pesa zetu za kodi lakini kitu kinaonekana na kinafaa sasa. Barabara za lami mkoa kwa mkoa wilaya kwa wilaya. Eee ni hivyo tu hata ukikashfu... Ulitaka rais awe baba ako au mjomba ako ndio uridhike. Tumepiga hatua na tunasonga mbele na Jembe letu hapa kazi tu President J.P.M
HAPANAAAAAAAAA.......NAKATAAAAA......Tunamheshimu mwache apumzike.
 
He was superb!..tunaliona gap lake sana!..
 
Paaaaaaa.....Jk alibatiba kwa maji sasa huyu jpm atawabatiza kwa moto!!! Hapa kz tuuuuuu
 
Mh. Rais mstaafu J.K.Mrisho, alikuwa mtu watu mwenye bashasha asiye na makuu hata watu wamseme vipi. Ametuachia Jakaya Kikwete Heart Institute. Ok, hata kama ni pesa zetu za kodi lakini kitu kinaonekana na kinafaa sasa. Barabara za lami mkoa kwa mkoa wilaya kwa wilaya. Eee ni hivyo tu hata ukikashfu... Ulitaka rais awe baba ako au mjomba ako ndio uridhike. Tumepiga hatua na tunasonga mbele na Jembe letu hapa kazi tu President J.P.M

Umesahau sasa ndio tunalipia hivyo vitu vyote ulivyotaja. Hakuna free lunch.
 
Kama mtu alizoea vya burebure, kweli gap ni kubwa na bado linaongezeka maana zama hizi usipofanyakazi huwezi kula. Tumwache JK ajipumzikie zake msoga. Hapa kazi tuu umbeya kwenu
 
Mh. Rais mstaafu J.K.Mrisho, alikuwa mtu watu mwenye bashasha asiye na makuu hata watu wamseme vipi. Ametuachia Jakaya Kikwete Heart Institute. Ok, hata kama ni pesa zetu za kodi lakini kitu kinaonekana na kinafaa sasa. Barabara za lami mkoa kwa mkoa wilaya kwa wilaya. Eee ni hivyo tu hata ukikashfu... Ulitaka rais awe baba ako au mjomba ako ndio uridhike. Tumepiga hatua na tunasonga mbele na Jembe letu hapa kazi tu President J.P.M
Jaribu kupevuka kidogo chief

Kazi ya Magu ya miezi 8 unailinganisha vp na kazi ya jk ya miaka 10...
 
Poleni kwa niliowakwaza, lakini tukubali tukatae mh. JK alifanya mengi mazuri. Tuache kuhemka kwa gadhabu kali eti tu kwa dosari chache zilizojitokeza wakati wake. Wengi watashikilia ufisadi ufisadi na kwa sumu walizomezeshwa na politicians. Hakuna aliyemkamilifu. Hata angewekwa huyo uliyemtaka awe President naye angechemsha tu. As a nation we have already moved from one point to the next level. Revolution is still taking place. Those things people want don't just happen abruptly, rather takes place ngazi kwa ngazi. Ni upuuzi wa kutokukomaa kubeza kila kitu ukidhani kwamba wewe au huyo unayemtaka angeweza kihivyo. Totally wrong! Tukubali kweli as a nation kuna shida katika mfumo wa kiutendaji.. Nisiseme sana intelligent people know what I'm saying...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom