Kuna tuliotengwa miguuni na wale wa poti

KIOO

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
6,154
5,680
IMG-20180526-WA0010.jpg
 
Hahahahahaha umenikumbusha mbaliii. ....

Mamaaa, ataa nnyaaa. ... mama anaelewa.

Mamaa, ataa mmaa. .... mama anaelewa

Mamaa, ataa yayaa. ..... mama anaelewa

Mamaa, ataa titombee. .... mama anaelewa

Mamaa, etee aadii. ... mama anaelewa.

Shkamoo mama Kasie.

You are the best mama ever, am sorry that I fail to be like you.

Kasinde.
 
umenigusa mnooo mama kasie
 
Dada au mwanamke yeyote ambae anajiheshimu huwa napenda kumuheshimu pia natambua mchango wake au wenu aidha kwa muda huu,uliopita au utakao kuja kikubwa hongereni na poleni
 
Unakoelekea kutaja jina lako lote aisee, kila siku closing inabadilika...

Kasinde
 
Hahahahahaha umenikumbusha mbaliii. ....

Mamaaa, ataa nnyaaa. ... mama anaelewa.

Mamaa, ataa mmaa. .... mama anaelewa

Mamaa, ataa yayaa. ..... mama anaelewa

Mamaa, ataa titombee. .... mama anaelewa

Mamaa, etee aadii. ... mama anaelewa.

Shkamoo mama Kasie.

You are the best mama ever, am sorry that I fail to be like you.

Kasinde.

Hahahah.

Acha tu Kasie MAMA hakuna wa kumfananisha aisee.

Acha tu aitwe mama kwa kweli.
 
Dada au mwanamke yeyote ambae anajiheshimu huwa napenda kumuheshimu pia natambua mchango wake au wenu aidha kwa muda huu,uliopita au utakao kuja kikubwa hongereni na poleni

Ni kweli unachosema mkuu.

Kuna wanawake wengine huwa hawajiheshimu na wala hawajui thamani ya uanawake wao hata kidogo.

Huwa nashindwa kuwaelewa kabisa mkuu.
 
Siku hizi ni mwendo wa pampas tu na wipes ,,,,mama hajawahi kugusa mavi ya mwanae,hatari sana yan
 
Back
Top Bottom