dah, yamenikuta...

dah, yamenikuta...

We mwananyamala walisika wazaramo wakimkanya mtoto asilie
 
Wakuu nna balaa hapa nashindwa nilitatuaje,,, ebana ,,

nilikuwa katika mishe zangu za kibiashara katika mkoa wa jirani na nnapoishi na familia yangu, asa huku nilipoenda kuna kimchepuko nilikuwa nakimendea kwa siku nyingi sana ,, mtoto wa kitanga ameumbwa akaumbika,

asa jana ndo ilikuwa mechi ya ufunguzi ,na tulipanga tunaifungulia kwake maana anaishi mwenyewe tu , na tangiapo nilimweleza ukweli kuwa mm nimeoa na nna familia , maandalizi ya mechi yalianza tangu wiki iliyopita ,, asa jana ndo ilikuwa mchezo wenyew ,,

kwanza maandalizi kabla ya game wakati tukiwa uwanjani yalikuwa balaa , nilipakwa mafuta ya asili ya uarabuni yananukia balaa , huku maandalizi ya mechi kila mmoja akimfanyia mwenzake kadri ya utaalam wake,, aseee watoto wa kitanga kwenye hii mishe hatari , tumemaliza maandaizi game likaanza nikapga mfululizo gama round 2 hivi tukapumzika nikawekewa maji ya kuoga sijui yaliwekewa manukato gani tena yananukia balaa ,, nkaoga na mahaba kama yote badae tukarudi uwanjani had nikaomba poo, nmepga round jumla 5 mtoto bado anadai

asa kilichonifanya niandike hapa ni kuwa baada ya mechi hii ya ugenini, nimeoga zaidii ya mara tatu lakini yale manukato hayajaisha mwilini , mwili unanukia balaa ,, nikifika kwa wife lazma tu nihojiwe kuwa manukato haya lazma nimekula nje,,, asa nataka nijaribu niende kwa mshikaji kabla ya kwenda home nikajiloweke kwenye foma japo saa moja labda manukato yataisha ,... km kuna namna wadau mnaweza nisaidia kukata hii harufu nadhan mchepuko amefanya kusudi ili ijulikane nimekula nje, nawasilisha
Hahahahahaaa stori zingine ni kwa ajili ya Kunogesha Eid Elfitr, kajiloweke kwenye foma kama Josho la ng'ombe mkuu.
 
Jimwagie konyagi mwili mzima au kojoa ujimwagie mikojo ili unukie mikojo na sio marashi hayo
 
Nikiwaga kweny scene kama yako ninachofanya ni kujipanga petrol tu harufu yote inakata, ukifika home sema pikpik ilikusumbua(km unayo) kama huna sema ulipita sheli au gerej ndo petrol ukakumwagikia. Ivo tu yaani na kesi inakua imekwisha
 
Mkuu umefanya mapenzi na jinni linaitwa marid linapenda manukato balaa na sasa utauona moto wake.
 
Back
Top Bottom