- Thread starter
- #41
ushaur mwengne banaMkuu nenda kashinde ferry ukibeba samaki

Wakuu nna balaa hapa nashindwa nilitatuaje,,, ebana ,,
nilikuwa katika mishe zangu za kibiashara katika mkoa wa jirani na nnapoishi na familia yangu, asa huku nilipoenda kuna kimchepuko nilikuwa nakimendea kwa siku nyingi sana ,, mtoto wa kitanga ameumbwa akaumbika,
asa jana ndo ilikuwa mechi ya ufunguzi ,na tulipanga tunaifungulia kwake maana anaishi mwenyewe tu , na tangiapo nilimweleza ukweli kuwa mm nimeoa na nna familia , maandalizi ya mechi yalianza tangu wiki iliyopita ,, asa jana ndo ilikuwa mchezo wenyew ,,
kwanza maandalizi kabla ya game wakati tukiwa uwanjani yalikuwa balaa , nilipakwa mafuta ya asili ya uarabuni yananukia balaa , huku maandalizi ya mechi kila mmoja akimfanyia mwenzake kadri ya utaalam wake,, aseee watoto wa kitanga kwenye hii mishe hatari , tumemaliza maandaizi game likaanza nikapga mfululizo gama round 2 hivi tukapumzika nikawekewa maji ya kuoga sijui yaliwekewa manukato gani tena yananukia balaa ,, nkaoga na mahaba kama yote badae tukarudi uwanjani had nikaomba poo, nmepga round jumla 5 mtoto bado anadai
asa kilichonifanya niandike hapa ni kuwa baada ya mechi hii ya ugenini, nimeoga zaidii ya mara tatu lakini yale manukato hayajaisha mwilini , mwili unanukia balaa ,, nikifika kwa wife lazma tu nihojiwe kuwa manukato haya lazma nimekula nje,,, asa nataka nijaribu niende kwa mshikaji kabla ya kwenda home nikajiloweke kwenye foma japo saa moja labda manukato yataisha ,... km kuna namna wadau mnaweza nisaidia kukata hii harufu nadhan mchepuko amefanya kusudi ili ijulikane nimekula nje, nawasilisha
Manukato ya moshi wa kuni hayaishagi, naonaga bora nizungukie njia ndefu kuliko kukatiza sehemu yenye moshiWasha moto wa kuni pita kwenye moshi lazima manukato yakate utanuka moshii kwishaa habari
Hakuna necha ya hivyo...ni tabia tuu mbovu mliyojiaminisha baadhi yenu wahunindo nature ilivo mama, mwanaume kuchepuka ni kama simba anavomkamata swala nyikani
Hii imesha niokoaga katika jangaDawa ni ndogo tu,
Kama unatumia via pitia kunywa bia mbili tatu,nyingine jimwagie utanuka pombe hiyo harufu itapotea ukifika tu wife ataziloweka nguo kwenye maji.
Kama hunywi bia pita duka la vipodozi nunua perfume mbili tofauti jipulizie rudi nazo nyumbani kama zawadi kwa mke wako
Ipi? Ya kijimwagia pombe au pafyumu.?Hii imesha niokoaga katika janga
hatari sana yakikukuta,, ila sasahv angalau nmetumia sabuni ya unga imepungua nmenunua a pafymu mpya nijipilizie afu naenda nayo homeZamani kidogo liliwahi kunikuta balaa Kama lako ila mimi ilikuwa ni yale mafuta ya masaji na mambo ya body to body. Nilitamani nijikwangue na msasa
wengine sijui hamjaumbwa....?Mi nasubiri picha ya ameumbwa akaumbika
wengine sijui hamjaumbwa....?
ikiletwa niambieNdo nasubiri picha ya walioumbwa
Wakuu nna balaa hapa nashindwa nilitatuaje,,, ebana ,,
nilikuwa katika mishe zangu za kibiashara katika mkoa wa jirani na nnapoishi na familia yangu, asa huku nilipoenda kuna kimchepuko nilikuwa nakimendea kwa siku nyingi sana ,, mtoto wa kitanga ameumbwa akaumbika,
asa jana ndo ilikuwa mechi ya ufunguzi ,na tulipanga tunaifungulia kwake maana anaishi mwenyewe tu , na tangiapo nilimweleza ukweli kuwa mm nimeoa na nna familia , maandalizi ya mechi yalianza tangu wiki iliyopita ,, asa jana ndo ilikuwa mchezo wenyew ,,
kwanza maandalizi kabla ya game wakati tukiwa uwanjani yalikuwa balaa , nilipakwa mafuta ya asili ya uarabuni yananukia balaa , huku maandalizi ya mechi kila mmoja akimfanyia mwenzake kadri ya utaalam wake,, aseee watoto wa kitanga kwenye hii mishe hatari , tumemaliza maandaizi game likaanza nikapga mfululizo gama round 2 hivi tukapumzika nikawekewa maji ya kuoga sijui yaliwekewa manukato gani tena yananukia balaa ,, nkaoga na mahaba kama yote badae tukarudi uwanjani had nikaomba poo, nmepga round jumla 5 mtoto bado anadai
asa kilichonifanya niandike hapa ni kuwa baada ya mechi hii ya ugenini, nimeoga zaidii ya mara tatu lakini yale manukato hayajaisha mwilini , mwili unanukia balaa ,, nikifika kwa wife lazma tu nihojiwe kuwa manukato haya lazma nimekula nje,,, asa nataka nijaribu niende kwa mshikaji kabla ya kwenda home nikajiloweke kwenye foma japo saa moja labda manukato yataisha ,... km kuna namna wadau mnaweza nisaidia kukata hii harufu nadhan mchepuko amefanya kusudi ili ijulikane nimekula nje, nawasilisha
ikiletwa niambie
kaoge na oil chafu mkuu