Dah! Unazikumbuka adhabu hizi ?

Dadeeek...ama adhabu ya kaza nati...utanena kilugha chenu....
 
Aiseee! Nimekumbuka mbali sana, nimeshika sana masikio shule ya msingi. Tena sisi tulikuwa tunawekwa kwenye kakichuguu, jua kali mpaka damu puani. Kwa kujaladia (kudabo) nilikuwa sijambo, unamgandishia ticha fimbo za matackoni mpaka anakasirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…