gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,714
na wewe hujatulia kweli.lol! hahahahaha ukija shtuka unasikia dudu imepita kwa pembeni pembeni lol!....Kwisha kazi....umebakwa mtandaoni!!!! :majani7::majani7::majani7:
vp x-mass?
na wewe hujatulia kweli.lol! hahahahaha ukija shtuka unasikia dudu imepita kwa pembeni pembeni lol!....Kwisha kazi....umebakwa mtandaoni!!!! :majani7::majani7::majani7:
na wewe hujatulia kweli.
vp x-mass?
lol! hahahahaha ukija shtuka unasikia dudu imepita kwa pembeni pembeni lol!....Kwisha kazi....umebakwa mtandaoni!!!! :majani7::majani7::majani7:
acheni maneno bwana....mie siwezi baka mtandaoni....ila naweza kukigegeda
mi niko poa. leo niko niko tu bana.Poa kabisa nawe je? BAK katulia banaaa lol!
vipi wakuu,heshima yenu,nisiwachoshe ni ingie kwenye point...kuna mdada nimiaka kama mitatu tulishawai kuwa wapenzi,tukaa achana kikweli nilikuwa sija tulia ujana ulikuwa unanisumbua tuka achana,ila mawasiliano yakawa kawaida,nikaenda zangu mbali sana ila tanzania hii hi,akapata mpenzi Mwingeni japo ki umri ni mkubwa kwake na ana mpa maisha yote,huyu dada aMekutana na mimi mwezi ulio pita amedata anakuja kulala geto ananiambia ananipenda kule alifata hela,amefungua tours anataaka nifanye nae kazi,naskia roho inauma maana sometime niko nie geto jamaa anapiga simu anadaganywa,mwanaume wake anajifanya mtemi ashawai wai kunikuta nasalimiana na huyo mwanamke akanitolea bastola.JE NIMUACHE HUYU MWANAMKE AU CSE NAMPENDA NA YEYE ANA NIPENDA NA UWAKIKA?
Heheheeee umeona eehusimuache huyo mwanamke mpaka bastola ikufyatukie na kukuchoma na kitu chenye ncha kali.......... Wakati watakapokuwa wanakuimbia parapandaaa italiaaaaa parapandaaaaaaa ndo utakuwa umefanya uamuzi sahihi.....
Unaweza gegeda mpaka mtandaoni!!!! WE MKAREE!!!
Mzee wa Jorry unatisha meeenacheni maneno bwana....mie siwezi baka mtandaoni....ila naweza kukigegeda
We kweli mzigo lolkusema kweli huyu bidada kashanichanganya akili hapa...yaani nawaza sana mambo ya kumkojolesha demu
kusema kweli huyu bidada kashanichanganya akili hapa...yaani nawaza sana mambo ya kumkojolesha demu
kifo huwa hakikosi sababu
mkuu si kama kamuowa huyo msichana wanaishi nae kama kimada,jamaa ana mke na watotoAcha utakufa huyo hakufai ingawa ulimuacha kwa makosa yako. Hakuna kosa utakalofanya kama kurudiana halafu eti ufanye kazi kwenye mali za mwenyewe huku ukitafuna mali za mwenyewe. Kama amedata kweli basi amtangazie talaka huyo jamaa wagawane kila kitu halafu muanze upya ingawa sina hakika kama nawe hatakupiga kibuti mbele ya safari. Akipata mwenye mshiko mkubwa atakudunda buti mwanangu. Kama unauweza utumwa basi endelea ila jamaa anaweza kukutoa roho bure.
nikwamba huyo mshua anafamilia yake,huyu msichana kamuweka mjini tu