Dah!!tabu

Dah!!tabu

usimuache huyo mwanamke mpaka bastola ikufyatukie na kukuchoma na kitu chenye ncha kali.......... Wakati watakapokuwa wanakuimbia parapandaaa italiaaaaa parapandaaaaaaa ndo utakuwa umefanya uamuzi sahihi.....
 
hata mm niliwah kumuuliza ni mzima kweli??
nikamwambia hope kwenye jamii anayoish hhafany haya anayopotray hapa.
mwali kumbe waenda tanga?? mie huku swtlo Kaizer kagoma imebidi nitulie ttu kama maji ya mtungini.

Hivi swtlo gfsonwin Asprin anaenda manake nahisi kutakuwa na sesheni ya ukaguzi
 
Last edited by a moderator:
ndugu yangu usifanye kosa la kukubali jufanya nae kazi kabisa...hapo she will have control ova u....ila bupa endelea kumega mwanawane wala usijivunge....akiileta wdwe isasambue tuu hiyo k yake.

Unamshauri amege tu mali za watu, na ile aliyotishiwa ni toy pistol ee?
 
Unamshauri amege tu mali za watu, na ile aliyotishiwa ni toy pistol ee?

mere fact ameanza kumega mali ya mtu tayari kashajiweka at risk sasa kwani unadhani akiacha kumega na jamaa later akaja gundua kuwa jamaa alikuwa anamega papuchi ya mke wake ndio hatamfyatua...either way the boy is doomed...so myt as well die while hitting that K badly
 
b'real achana na huyo mwanamke, kikawaida wanaume wanaowahudumia sana wanawake wanatabia ya kuwa na wivu uliopitiliza na ukilinganisha ana moto asije kukufanya kama Padre wa Zanzibar hata kama hufi ila tayari cha moto utakuwa umekiona!!!

Jilaume wewe mwenyewe na mawenge yako ya ujana mpaka ukamkosa lakini saizi yupo himaya nyingine kabisa.

tena hao wanaohudumiaga kama ndiyo mapenzi yenyewe wengi wao wanakuwaga na udhaifu fulani hivi sasa unakuta ndiyo wanafidia.........HATARI TUPU HIYO.
 
Pole sana! Hakuna mapenzi hapo ni matatizo ya kisaikologia tu,kua na mtu mwenye pesa na baadae umrudie wa zamani eti kule alifuata pesa! tuliza akili tafuta wakwako wa kweli achana na huyo anakupotezea muda ambao baadae utaujutia kama anakupenda amuache huyo wa pesa ni kitu ambacho hakiwezekani,time tumia muda wako vizuri acha kupoteza muda!
 
kwani jamaa kamuoa??kama hajamuoa we endelea nae tu,silaha kitu gani na wewe si utafute yako,kama huna pesa ya kutosha bastola nunua hata upinde na mshale,cha kuchunga ni maradhi mkuu
 
vipi wakuu,heshima
yenu,nisiwachoshe ni ingie kwenye point...kuna mdada nimiaka kama mitatu
tulishawai kuwa wapenzi,tukaa achana kikweli nilikuwa sija tulia ujana
ulikuwa unanisumbua tuka achana,ila mawasiliano yakawa kawaida,nikaenda
zangu mbali sana ila tanzania hii hi,akapata mpenzi Mwingeni japo ki
umri ni mkubwa kwake na ana mpa maisha yote,huyu dada aMekutana na mimi
mwezi ulio pita amedata anakuja kulala geto ananiambia ananipenda kule
alifata hela,amefungua tours anataaka nifanye nae kazi,naskia roho
inauma maana sometime niko nie geto jamaa anapiga simu
anadaganywa,mwanaume wake anajifanya mtemi ashawai wai kunikuta
nasalimiana na huyo mwanamke akanitolea bastola.JE NIMUACHE HUYU
MWANAMKE AU CSE NAMPENDA NA YEYE ANA NIPENDA NA UWAKIKA?

Hapana endelea nae tu uoneshwe kazi we c wajidai kidume!
unajua uchungu wa mwanamke ww????
 
Usjauri wa bure..! Mke wa mtu sumu kikweli kweli, achana nae kabisaaaaa!
 
lol! hahahahaha ukija shtuka unasikia dudu imepita kwa pembeni pembeni lol!....Kwisha kazi....umebakwa mtandaoni!!!! :majani7::majani7::majani7:

imebidi nimwogope huyu anaweza kukubaka kwenye key board.
 
Back
Top Bottom