B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,573
- 3,255
vipi wakuu,heshima yenu,nisiwachoshe ni ingie kwenye point...kuna mdada nimiaka kama mitatu tulishawai kuwa wapenzi,tukaa achana kikweli nilikuwa sija tulia ujana ulikuwa unanisumbua tuka achana,ila mawasiliano yakawa kawaida,nikaenda zangu mbali sana ila tanzania hii hi,akapata mpenzi Mwingeni japo ki umri ni mkubwa kwake na ana mpa maisha yote,huyu dada aMekutana na mimi mwezi ulio pita amedata anakuja kulala geto ananiambia ananipenda kule alifata hela,amefungua tours anataaka nifanye nae kazi,naskia roho inauma maana sometime niko nie geto jamaa anapiga simu anadaganywa,mwanaume wake anajifanya mtemi ashawai wai kunikuta nasalimiana na huyo mwanamke akanitolea bastola.JE NIMUACHE HUYU MWANAMKE AU CSE NAMPENDA NA YEYE ANA NIPENDA NA UWAKIKA?